Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei

 Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei




Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi...
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei


Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita...
Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi ila sielewi alimaanisha nini

Jamani naomba msaada nifanyaje mie nipendwe kama wengine
Hide My Name.

Post a Comment

0 Comments